Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwaapisha Mawaziri na Naibu Waziri wapya kufuatia mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Baraza la Mawaziri Oktoba 7, 2017. Bofya hapa kutazama

Video: JPM awaapisha mawaziri wapya
Andrea Pirlo atangaza kutundika daruga