Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunukia vyeti vya pongezi wajumbe waliohusika katika kuchunguza kiwango madini katika Makinikia, na wajumbe walioongoza mazungumzo ya kati ya Serikali na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold Corparation.

Tazama hapa muda huu.

Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 24, 2017
Kibarua cha Ronald Koeman mashakani baada ya kufungwa na Arsenal