Leo Septemba 11, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anamwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma.

Profesa Ibrahim ameteuliwa na Rais Magufuli Septemba 10, 2017. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania ambapo alichukua nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman ambaye amestaafu.

NATO yatishia kuishambulia Korea Kaskazini
Shaka amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, Malecela