Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Misri, Abdel Fattah El Sisi wakihutubia wananchi. Rais wa Misri amewasili nchini Tanzania leo Agosti 14, 2017 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Tazama hapa

Video: MCT Yatangaza ripoti ya uvamizi Clouds Media
Drake, Future washtakiwa na mwanamke aliyebakwa kwenye tamasha lao