Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 3, 2017 anafungua Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa – ALAT. Tazama hapa moja kwa moja kutoka katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere JNICC jijini Dar es salaam.

Donald Ngoma aiweka roho juu Young Africans
Video: Lowassa, Ndesamburo watajwa kufutwa uchaguzi CCM Moshi, Familia ya Lissu yateta na Spika wa Bunge