Mfalme Mohammed VI wa Morocco yuko katika ziara rasmi ya siku tatu hapa nchini, leo muda huu yupo Ikulu na mwenyeji wake Rais John Magufuli ambapo itasainiwa mikataba 22 ya kibiashara kati ya Morocco na Tanzania. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka Ikulu, Dar es salaam
Video: Mfalme wa Morocco kujenga uwanja mkubwa wa mpira Dodoma, Msikiti Dar
Video: Tanzania na Morocco zatiliana saini mikataba 22