Live: Mapokezi ya Mfalme wa Morocco uwanja wa ndege Dar muda huu

Rais Magufuli akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kumpokea mfalme wa Sita wa Morocco kwa ziara ya Kiserikali kwa mda wa siku saba. Mfalme Mohamed VI ameambatana na wafanyabiashara 1000. Bofya hapa kutazana moja kwa moja kutoka Uwanja Ndege wa Taifa, Dar es salaam

Comments

comments