Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Mwanza, Ukerewe miili ya watanzania waliofariki katika ajali ya Mv Nyerere ikihifadhiwa katika nyumba zao za milele.

Mungu azipumzishe kwa amani roho za maheremu wote waliopeteza maisha katika ajali hii.

Aidha, Rais Magufuli ametoa siku tatu za kupeperusha bendera nusu mlingoti na siku nne za kuomboleza kufuatia pigo hili la taifa tangu Septemba 22, 2018.

Video: Kamwelwe ataja idadi maiti zilizoopolewa
LIVE: Mazishi ya Watanzania waliofariki dunia katika ajali ya MV Nyerere