Tazama hapa moja kwa moja Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizindua Chaneli ya Utalii ‘Tanzania Safari Channel’ ambayo itakuwa inaonyesha vivutio mbali mbali vya utalii nchini.

Uzinduzi wa Chaneli hiyo ni kufuatia agizo la Rais Magufuli alipotembelea Televisheni ya Taifa, TBC hivi karibuni ambapo aliagiza kuwepo kwa chaneli hiyo itakayokuwa inaonyesha vivutio vya utalii. Tazama hapa.

CCM kwachafuka, kada ajiokeza hadharani, atangaza nia 2020
Video: Bunge la Ulaya laiwekea Tanzania mazimio15, Uchaguzi mkubwa benki zote nchini

Comments

comments