Tazama hapa moja kwa kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili ikitokea, Seattle nchini Marekani.

Ndege hiyo ni ya nne kuwasili kati ya saba zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuliwezesha shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ili kuimarsha huduma zake.

Majaliwa akemea maafisa ushirika wenye visingizio
Video: Gigy Money aja Ki-hiphop na wimbo wake mpya wa 'Kiki'

Comments

comments