Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Pombe Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani Tanga, ambapo muda huu yupo wilayani Handeni. Bofya hapa kutazama moja kwa moja Rais Magufuli akihutubia wananchi wa Handeni muda huu

Hamad : Maalim Seif amepoteza uwezo kukiongoza chama chake
Mahakama Kuu yatoa uamuzi mzito siku moja kabla ya uchaguzi Kenya