Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka jijini Dar es salaam ofisi za Mamlaka ya Mawasialiano Tanzania (TCRA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akikabidhiwa mfumo mpya wa mawasiliano ya simu TTMS.

video: Mbowe augua ghafla mahabusu, CAG atoa msimamo
Nairobi: Aliyewahudumia magaidi asimulia walivyomuacha wakimpa ujumbe