Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Ikulu ya Tanzania, Chamwino Dodoma.

Hafla hiyo imehudhuliwa na marais wastaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa, Ali Mwinyi, Mama Maria Nyerere pamoja na viongozi wengine wa Serikali…, Bofya hapa kutazama