Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi tangu Agosti 3, 2017 ambapo tayari amefanya uzinduzi wa miradi mbali mbali ya kimaendeleo mkoani humo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga.

Leo muda huu Rais Magufuli yupo katika wilaya ya Korongwe mkoani humo akizindua kituo cha mabasi. Tazama hapa

 

Makonda apiga ‘stop’ amri ya kuondoa tinted kwenye magari
Video: Rayvany na ngoma yake mpya 'Chuma ulete'