Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaarika wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya AFCON kwa kuifunga Uganda magoli 3 – 0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu muda huu.

Mwalimu anayegawa 80% ya mshahara wake ashinda Sh 2 bilioni
Video: Taifa Stars yaweka historia mbele ya Waziri Mkuu, yafuzu AFCON

Comments

comments