Leo Julai 23, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi akitokea mkoani Kigoma. Rais Magufuli amewasili Wilayani Kaliua ambapo atazindua barabara ya Kaliua – Kazilambwa. Tazama moja kwa moja kutoka mkoani Tabora muda huu

Rais Magufuli: Aliyemuita Kafulila tumbili yeye ndiye tumbili kwa IPTL
Vyama vya wanasheria Afrika vyatoa tamko kushikiliwa kwa Lissu