Tazama hapa Moja kwa Moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Misri wakishuhudia utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Ufuaji umeme wa maji katika maporomoko ya mto Rufiji.

Mkataba huo unahusisha mkandarasi kutoka nchini Misri na Serikali ya Tanzania. Tazama hapa

Video: Sababu Mwalimu Nyerere kuitwa 'Baba wa Taifa'
Jafo awapa neno TARURA