Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak-yeon wakishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa daraja jipya la Salender jijini Dar es Salaam.

Daraja la Salender litaunganisha eneo la Agha Khan katika Barabara ya Barack Obama na eneo la Coco Beach katika makutano ya barabara za Kenyatta na Toure.

David Seaman ataka ushindani langoni mwa Arsenal
Rais Magufuli leo kushuhudia utiaji saini ujenzi daraja la Salenda

Comments

comments