Tazama hapa moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuaga mgeni wake Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini. Tazama hapa

Zuma: misimamo yangu ilitaka kunisababishia kifo
Odinga aapa kuweka mambo hadharani