Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka viwanja vya Jamhuri Dodoma, Makamu wa Rais Samia Suluhu ambaye ni mgeni rasmi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa tamasha la Urithi ambalo limeanzishwa rasmi mwaka huu na kutarajiwa kufanyika kila mwaka mwezi Septemba.

CRDB kuanzisha mfumo wa kujifungulia akaunti kwa simu ya mkononi
Mgambo washusha kichapo kwa vijana wakitaka wajiunge nao

Comments

comments