Tazama hapa moja kwa moja sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump kuwa Rais wa 45 wa Marekani, sherehe hiyo ikifanyika katika majengo makuu ya Bunge la Congress, Capitol Building, mjini Washington DC.  Trump anachukua hatamu kutoka kwa Rais Barack Obama ambapo atakula kiapo muda mfupi kabla ya saa mbili kisha atatoa hotuba na kuongoza msafara kuelekea White House. Bofya hapa kutazama yote yanayojiri katika sherehe hizo #USIPITWE

Video: Baraza la ujenzi la Taifa lafanya ukaguzi wa miradi ya ujenzi
Trump kuandika historia mpya Marekani