Fuatilia hapa yanayojiri Bungeni Dodoma moja kwa moja kutoka Dodoma muda huu katika Bunge la 11, Mkutano wa kumi leo Februari 5, 2018, ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anajibu amawasli ya papo kwa papo ya wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bofya hapa kutazama

Sallam wa WCB amvaa rasmi Ruge
Rwanda yadai imeboresha haki za binadamu

Comments

comments