Fuatilia hapa moja kwa moja yanayojiri Bungeni  jijini Dodoma, Leo Septemba 4, 2018 katika Mkutano wa 12, kikao cha 1 pamoja na kushuhudia kiapo cha uaminifu kwa mbunge wa Jimbo la Buyungu CCM, Christopher Chiza.

Mkutano huu wa Bunge unatarajia kumalizika Septemba 14, 2018, unalenga kufanya marekebisho ya miswada mitano ya sheria.

Video: Jinamizi ajali lazidi kutikisa, JPM ahitimisha kilio cha miaka 22
Tottenham kuikaribisha Man City Wembley Stadium

Comments

comments