Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma, kuona yote yanayojiri katika Bunge la 11, Mkutano wa saba. Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya Bunge la bajeti ambapo Wizara mbali mbali zitawasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/18 kabla ya kupitishwa na Bunge. Bofya hapa kutazama

Nape: Nikiyakumbuka Haya... Naonekana Mkorofi
Korea Kaskazini yasema haitaacha kufanya majaribio ya makombora

Comments

comments