Fuatilia hapa matokeo ya Urais Kenya ambapo Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imeanza kuhesabu upya matokeo hayo ya uchaguzi ili kila mgombea aweze kuridhika na kile kinachoendelea baada ya mgombea Urais Raila Odinga kudai kuwa kulikuwa na udukuzi wa mitambo ya elektroniki ya tume ya IEBC.

Bofya hapa kufuatilia kinachoendelea moja kwa moja kutoka nchini Kenya

Magazeti ya Tanzania leo Agosti 10, 2017
Video: Majaliwa apokea msaada wa magari kutoka Foton