Leo Julai 21, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Kigoma katika ziara ya kikazi, ambapo katika ziara hiyo atazindua barabara pamoja na shughuli nyingine za maendeleo mkoani humo. Tazama hapa moja kwa moja kutoka mkoani Kigoma kufuatilia ziara ya Rais Magufuli muda huu

Mungu amjibu Happiness Magese, ajifungua mtoto wa kiume
Mamilioni wajiunga na maandamano Venezuela, yasababisha vifo