Tazama hapa moja kwa moja yanayojiri katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli mkoani Mbeya.

Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Magufuli mkoani humo tangu achaguliwe kuwa Rais mwaka 2015.

Tazama hapa LIVE

CCM Njombe yawataka Watanzania kuulinda na kuimarisha Muungano
Ben Pol alivyomvisha pete Mkenya, mashabiki wamgeukia Diamond

Comments

comments