Tazama hapa moja kwa moja yanayojiri katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli mkoani Mbeya.

Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Magufuli mkoani humo tangu achaguliwe kuwa Rais mwaka 2015.

JPM atoa msamaha kwa wafungwa 3,530
Video: Rais Magufuli aingilia kati usajili laini kwa vidole, Kimbunga Keneth chayeyuka

Comments

comments