Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Mei 6, 2022

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Waziri Gwajima awaonya wazazi wanaozembe kwenye malezi, kuzalisha wahalifu
Kidato cha sita kuanza mitihani ya kitaifa leo