Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Lowassa kutinga kwa Makonda, familia yakutana na Fatuma
Wananchi mkoani Njombe watakiwa kufuga Ng'ombe