Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Februari 22, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Edgar Lungu azitaka nchi za Afrika kutokomeza ukoloni
Chadema yazidi kuyeyuka Iringa, madiwani 7 wajiengua wakimtuhumu Mch. Msingwa