Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya nje na ndani Tanzania leo Machi 23, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Sarkozy alia na rushwa ya Gaddafi, ‘naishi kama kuzimu’
Meya wa Jiji la Dar aziweka kikaangoni halmashauri, azitaka zitimize makubaliano