Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 29, 2017. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Marekani yamteua Kafulila Kushiriki Mjadala wa vita dhidi ya Ufisadi
JPM, Museveni kuweka jiwe la msingi mradi wa bomba la mafuta