Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 12, 2017. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Video: Dude la IPTL lang'oa kigogo, Ripoti Makinikia kutikisa taifa leo
Video: Meya, Mkurugenzi wapewa siku moja kutoa maamuzi ya kiwanja