Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Machi 7, 2017, Hapa unapata kurasa za mbele za magazeti zikionyesha habari kubwa zote.

Ndalichako awataka wakurugenzi wa elimu kujitathmini
Mpina atoa miezi kumi kwa mkandarasi kukamilisha ujenzi wa fukwe