Viongozi wengi wa Afrika wamekuwa na kasumba ya kung’ang’ania madaraka huku wengine ikiwa ni kujilimbikiza mali na kusahau wananchi waliompa nguvu ya kuongoza wakiwa wanataabika.

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameambiwa kuwa ni lazima alipe zaid ya dola nusu milioni pesa za umma, ambazo alitumia kukarabati nyumba yake.

Mahakama ya juu zaidi nchini Afrika Kusini imetaka wizara ya fedha, kutambua ikiwa ni kiaisi gasi Rais Zuma anasathili kurejesha kufutia uamuzi wa mapema mwaka huu kuwa alikuwa amekiuka katiba

xuma
Makao ya Zuma ya Nkandla

Kumekuwa na wito wa kumtaka Raia Zuma ajiuzulu kutokana na sakata hilo.

Andrés Iniesta Huenda Akamfuata Lionel Messi
Video: Wauaji Tanga, Msikitini Mwanza wauawa Dar. CHADEMA vitani na IGP - Magazeti Leo