Waombolezaji  wa msiba katika kijiji cha Shambarere, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya wameshuhudia kisa cha maiti ambayo ilitakiwa ikazikwe, lakini ikashindikana baada vidole vyake vya mkononi kukunja ngumi kwa madai ya kutaka kulipwa mahari yake.

Baada ya mazungumzo baina ya pande zote mbili kutoka kwa mume aitwaye Malimu  na wazazi wa marehemu, zilidai maiti hiyo ilikuwa haijalipiwa pesa za mahari.

 Jeneza

Kwamujibu wa Citizen TV, familia ya mume huyo walikubali kulipa pesa ya mahari na baada ya hapo maiti ilikubali kukunjua mikono yake ambayo ilikuwa imekunja ngumi, kisha wazee kufanya maombi na mwili huo kuzikwa salama.

 

Trump asini sheria ya kuundwa kwa kikosi cha kijeshi angani
Watalii 150 kutoka Israel wametua nchini