Majaliwa apokea sh. mil. 5 kwa ajili ya waathirika wa tetemeko Kagera
6 years ago
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa Shilingi milioni 5 kutoka kwa mfanyabaiashara wa mjini Dodoma, Thaker Singh Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 4, 2016 kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.