Wziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameshiriki mazishi ya mara ya pili  ya marehemu, Yustino Ndugai Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Job Ndugai. Marehemu Yustino alifariki Mwaka 1992 na amezikwa mara ya pili June 17 , 2017 katika  makaburi ya familia ya Ndugai Kijij cha Chimoloto Wilaya ya Kongwa Mkoani  Dodoma.

job1

Wziri Mkuu  Kassim Majaliwa akiweka  Shada  la Maua katika kaburi alipo Zikwa Kwamara ya Pili  Marehemu  Yustino Ndugai  Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Job Ndugai. Shughuli hiyo imefanyika June 17 , 2017 katika  makaburi ya familia ya Ndugai  Kijij cha Chimoloto Wilaya ya Kongwa Mkoani  Dodoma.

job2

Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa akitoa Salamu za Serekali kwa Wananchi , Katika  Tukio la Mazishi ya Mara ya Pili ya Marehemu  Yustino Ndugai Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai .

job3

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa na Mjumbe wa Kamati  Kuu CCM Abdalah Bulembo (Mbunge) akitoa salamu kwa niaba ya Wabunge wa CCM , Katika Tukio la Mazishi ya mara ya Pili ya Marehemu  Yustino Ndugai Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai . Marehemu Yustino alifariki Mwaka 1992 na amezikwa mara ya Pili June 17 , 2017 katika  makaburi ya familia ya Ndugai  Kijij cha Chimoloto Wilaya ya Kongwa Mkoani  Dodoma

Video: Taifa la watu waadilifu huanza kwenye familia - Majaliwa
Video: Makonda awageuzia ubao maafisa elimu Dar