Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Mei 7, 2022 amewasili Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pamoja na mambo mengine atakagua Maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV Mwanza Hapa kazi tu.

Pia atakagua ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi, Kukagua Ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pamoja na kuzungumza na watumishi na wananchi wa Halmashauri hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu
Majaliwa azuia hati 7 za kusafiria za wahandisi wa Kikorea
JWTZ yapaisha kiwango cha maendeleo Tanzania