Hatimaye Panama limeachia jana majina 45 ya watanzania wenye ukwasi mkubwa wenye akaunti nono nje ya nchi ambazo zimefichwa kwenye nchi ambazo zinafahamika kwa kutotoza kodi akaunti zao.

Kati ya majina hayo, wapo ambao walikuwa wanasiasa wakubwa na wengine bado wanasiasa wakubwa na wafanyabiashara wenye majina makubwa nchini.

Katika majarida hayo, hawakuelezea ubaya lolote baya lililofanywa na wafanyabiashara hao kupitia akaunti hizo, lakini National Consortium of Investigative Journalism (ICIJ) wametoa muenendo wa akaunti kama hizi ziwapo nje ya nchi.

ICIJ waameeleza kuwa baadhi ya akaunti zilizofichwa nje ya nchi hutumika wakati mwingine kwa shughuli ambazo ni kinyume cha sheria na baadhi ya wafanyabiashara hujitakatisha huku wakitumia fedha hizo kufanya biashara haramu ikiwa ni pamoja na dawa za kulevya na biashara ya silaha.

Baadhi ya Majina hayo ni:

Yusuf Manj

Rostam Aziz

Abdulaziz M. Abood

Hasnain Ahmed

Kasbian Nuriel

Nwshad A. Hassanali

Jorge Maritiono

Sukaina Manji

Talal Mohamed Abood

Nerendra Vangjibhai Patel

Zuzana Kovacicova

Eric Pasanisi

Sajjad M. Viran

Suril Shah

Andre Schmid

Aziz, Jorge Martino

 

Kamati Ya Marekebisho Katiba Ya ZFA Yahitaji Mamilioni Ya Shilingi
Magufuli aiweka kando safari ya London, amfuata Museveni