Droo ya Nusu Fainali ya UEFA Europa League imefanyika muda mchezae uliopita na tayari timu nne zilizoingia katika hatua hiyo zimepangwa jinsi zitakavyokutana.

Villarreal imepangwa kuanza mechi ya kwanza ya hatua hiyo kwa kuikaribisha na Liverpool, Shakhtar Donetsk itacheza dhidi ya Sevilla ya Hispania wakati ambapo Shakhtar Donetsk itacheza dhidi ya Sevilla.

Nusu fainali hiyo inatarajiwa kuchezwa Aprili 28 wakati ambapo mechi za marudio za hatua hiyo zitachezwa Mei 5, 2016.

Fainali ya michuano hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 18, 2016 kwenye Uwanja wa St. Jakob-Park jijini Basel nchini Switzerland.

Kinnah Phiri: Sasa Tuko Kwenye Kiwango Kizuri
Rais Wa TFF Ampongeza Rais Wa ZFA