Makampuni 15 yamejitokeza kununua zao la Korosho baada ya serikali kutoa siku nne kwa wanunuzi hao kununua Korosho kwa bei elekezi.

Hayo yamesemwa Ikulu jijini Dar es salaam na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri walioteuliwa hivi karibuni, ambapo amesema kuwa mpaka sasa makampuni hayo tayari yameshapeleka barua ofisini kwake.

 

Gary Neville: Mourinho amestahili kufungwa
Hakuna kazi ngumu kama ya kuteua au kutengua- Ndugai

Comments

comments