Makamu wa Rais Dr. Phillip Isidor Mpango ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa Bandari ya Mtwara na maandalizi ya TPA kuhudumia shehena ya Korosho ambayo itapita yote katika bandari hiyo msimu huu unaoanza mwezi Septemba kama ilivyoelekezwa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.

Pichani Mhe Makamu wa Rais akipata maelezo kuhusu bandari ya Mtwara kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA Ndg. Eric Hamissi.

Benki mpya ya TCB yashiriki maonesho ya biashara na teknolojia ya madini Shinyanga
Hersi: Tuna kikosi kipana