Zoezi la kupata makundi yatakayoshiriki Ligi ya Mabingwa wa Ulaya imemalizika jana Monaco, Ufaransa na kutoa picha ya kila klabu kujipima na kujiandaa kukabiliana na ushindani.
Zoezi hilo lililoambata na hafla fupi lilihudhuriwa na wachezaji mbalimbali wakiwemo Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Haya ni makundi yaliyopangwa:
GROUP A
Paris (FRA)
Real Madrid (ESP)
Shakhtar Donetsk (UKR)
Malmö (SWE)
GROUP B
PSV (NED)
Man. United (ENG)
CSKA Moskva (RUS)
Wolfsburg (GER)
GROUP C
Benfica (POR)
Atlético (ESP)
Galatasaray (TUR)
Astana (KAZ)
GROUP D
Juventus (ITA)
Man. City (ENG)
Sevilla (ESP)
Mönchengladbach (GER)
GROUP E
Barcelona (ESP)
Leverkusen (GER)
Roma (ITA)
BATE (BLR)
GROUP F
Bayern(GER)
Arsenal (ENG)
Olympiacos (GRE)
Dinamo Zagreb (CRO)
GROUP G
Chelsea(ENG)
Porto(POR)
Dynamo Kyiv (UKR)
- Tel-Aviv (ISR)
GROUP H
Zenit (RUS)
Valencia (ESP)
Lyon (FRA)
Gent (BEL)