Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga amejiuzulu nafasi yake Machi 16, 2018.

Makunga amefanya uamuzi huo akiwa bado mwanachama hai wa jukwaa la wahariri (TEF).

Hivyo kufuatia mkutano mkuu uliofanyika leo, Machi 17, 2018 kamati imeridhia uamuzi uliochukuliwa na Makunga na imekili kuthamini mchango mkubwa alioutoa Makunga katika kipindi chake chote alichutumikia nafasi hiyo.

Aidha Jukwaa la Wahariri limetoa shukrani za dhati na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake mengine.

Image result for theophil makunga

Edu Boy amkaribisha Stamina ulingoni wazichape
Q Chief afunguka kuhusu kuzimiwa MIC stejini