Unambiwa hivi Meridianbet imejipanga kumwagilia moyo wako kwenye ushindi utakaoupata, ni rahisi sana umepewa odds kubwa cha kufanya chagua mechi za wikiendi hii. Ligi zinaendelea tena kwa michezo kadhaa na huku nyingine zikitamatika kama EPL.

Utamu wa mechi hizi sio mbio za ubingwa tena, ni vita ya kushuka daraja na kugombea nafasi za kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, Europa League na Conference League. Utamu umeongezwa na Meridianbet kwa kuzipa timu nyingi odds kubwa, kazi inabaki kwako tu kubashiri soka, kubashiri mubashara au kama sio mpenzi wa soka unaweza kucheza sloti na kasino ya mtandaoni.

EPL KUKOJE? Moto wa EPL unaziangazia timu tatu za chini ni Leicester City, Leeds na Southampton ambao wote wapo nafasi mbaya Zaidi ya kushuka huku TOP 4 tayari ishajulikana. Ratiba ya wikiendi hii iko kama hivi: mechi ni 10 na ratiba itafungwa kwa Southampton vs Liverpool, Chelsea vs Newcastle, Brentford vs City, Arsenal vs Wolves, Leeds vs Spurs, United vs Fulham, Leicester City vs West Ham.

KWINGINEKO JE? Ligi nyingine pia zimebakiza michezo miwili kutamatika, Laliga, Serie A, Ligue 1 na Bundasliga ni miongoni mwa Ligi zinazofuatiliwa sana duniani na pendwa sana kwa watu wanao bashiri soka kwa sababu wikiendi hii kuna odds kubwa kwa mechi zote.

Serie A odds kubwa kwenye mechi zote kubwa Zaidi ni Inter atakipiga na Atalanta, Juventus aliyekatwa pointi 10 atakichafua na AC Milan, Bologna vs Napoli, Fiorentina vs AS Roma odds kubwa mechi hii ni 2.13 vs 3.43 sare ina 3.33 unaanzaje kuziacha odds hizi. Bashiri na Meridianbet.

Vinara wa Bundasliga Dortmund watashuka dimbani dhidi ya Mainz kutafuta alama 3 zitakazo wafanya kuendelea kukaa kileleni, Mainz amepewa odds kubwa ya 12.74 ashinde huku sare ni 8.62, Bayern Munich atacheza na Cologne.

La Liga kumenoga sana ni Real Madrid atakuwa ugenini kucheza na Sevilla Meridianbet wametoa odds kubwa 2.84 kwa 2.39 ushindi kwa kila mmoja, Atletico Madrid vs Real Sociedad, FC Barca vs Mallorca. Pata odds kubwa machaguo mengi au cheza kasino ya mtandaoni upate bonasi na promosheni kibao ambapo kama ni mteja mpya ukijisajili unazawadiwa mizunguko mingi ya bure kucheza kasino ya mtandaoni.

Muda wa kujua timu gani zinashuka daraja ni wikiendi hii, Changamkia fursa ya odds kubwa ujipigie mtonyo ukibashiri na Meridianbet michezo ya wikiendi. Bashiri kupitia www.meridianbet.co.tz  au bashiri bila bando, PIGA *149*10#

Angola yawa nchi Mwanachama wa 21 wa ATI
Hassan Dilunga kuvaa gwanda Msimbazi 2023/24