Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Maono Ally kutoka wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, amepongezwa na wakazi wilaya hiyo kwa kufanyiwa sherehe fupi kufuatia kushinda ubingwa wa Dunia wa vijana WBC.

Maono Ally ameshinda ubingwa huo siku chache zilizopita baada ya kumtwanga kwa TKO ya raundi ya pili, Mpoland, Luka Pupek katika pambano lililofanyika nchini Afrika Kusini.

Akizungumza wakati wa sherehe hiyo, Maono amesema siri ya mafanikio aliyoyapata yametokana na maandalizi bora aliyoyafanya kabla ya kuelekea kwenye pambano hilo.

Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya ‘milioni 600’, iangalie hapa
Diwani mwingine ajiuzulu na kuhamia CCM