Msanii wa Muziki wa bongo fleva Hellen Majeshi maarufu kama Ruby ameweka picha ya mpenzi wa zamani na staa wa filamu nchini Aunty Ezekiel Mose Iyobo na kuandika anampenda sana hali ambayo imezua maswali mitandaoni hsa mashabik wa wasanii hao.

Ruby ametumia ukurasa wake wa Instagram kwa kushea picha ya Mose Iyobo katika kumbukumbu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ameandika.

“Happy birthday Baba Cookie, nakupenda sana na unajua” ameandika Ruby

Aunty Ezekiel kwa sasa ana mtoto mwingine wa kiume na msanii Kusah ambaye ni mpenzi wa zamani wa Ruby ambapo kwenye mahusiano yao pia wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.

Serikali yakabidhi ambulance boats 2 Mwanza
Habari Picha: ziara ya Kassim Majaliwa Mbeya