Kufuatia mashambulizi dhidi ya msafara wa misaada nchini Syria, Marekani na Urusi zimerushiana maneno ya kulaumiana vikali kwenye baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu.

Urusi imetajwa na Wamarekani kuwa ndiyo iliyoshambulia msafara huo, huku Warusi wakilipinga kuhusika na tukio hilo.

Sergey Lavrov wa Urusi amepinga hisia hizo kali kwa kuorodhesha mifano kadhaa kutetea nchi yake lakini Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Urusi, John Kerry  amevuka mipaka ya lugha ya kidiplomasia na kutumia dhihaka zaidi, ambapo mwenzake wa wamepinga.

Urusi na Marekani zimekubaliana kwa pamoja kuongoza mkutano wa mataifa 23, yanayoiunga mkono Syria ambao utafanyika mjini New York, baadaye leo, licha ya majibizano makali.

Hata hivyo, Umoja wa Mataifa umesema unajiandaa kuanza tena kutoa misaada ya kibinadamu katika maeneo yaliyozingirwa nchini Syria, baada ya kusitishwa kwa usambazaji wa misaada kufuatia shambulio hilo na misafara hiyo ya misaada itaanza katika baadhi ya maeneo lakini kwa uangalifu na tahadhari kubwa.

Luis Enrique: Kuumia Kwa Lionel Messi Ni Pigo La Dunia
Wazo la leo juu ya mafanikio.